Mono
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mono (pia: Mon, Monon, Muno; 600 hivi - 645) alikuwa Mkristo wa Funguvisiwa la Britania (Uskoti au Eire) aliyeishi kama mkaapweke nchini Ubelgiji, karibu na Nassogne, hadi alipouawa na majambazi wa jirani waliosumbuliwa na umati wa watu waliomtembelea kwa kuvutiwa na utakatifu wake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads