Moyale
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Moyale ni mji wa mpakani: sehemu kubwa iko upande wa Ethiopia, na ile ndogo upande wa Kenya katika kaunti ya Marsabit.

Wakazi upande wa Kenya walikuwa 37,378 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads