Wilaya ya Mpanda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wilaya ya Mpanda
Remove ads

Wilaya ya Mpanda ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa, Tanzania hadi mwaka 2012 yenye postikodi namba 50100. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 412,683 Ilihifadhiwa 20 Machi 2004 kwenye Wayback Machine..

Thumb
Mahali pa Mpanda katika mkoa wa Rukwa kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Katavi mwaka 2012.

Mwaka 2012 wilaya ikahamishwa kwenda mkoa mpya wa Katavi. Mwaka uleule maeneo yake yaligawiwa kati ya wilaya ya Mpanda Vijijini na wilaya ya Mpanda Mjini.


Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads