Mpingakristo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mpingakristo
Remove ads

Mpingakristo katika Biblia ni mtu au watu waliotabiriwa katika Waraka wa kwanza wa Yohane na Waraka wa pili wa Yohane kuwa watatokea kumpinga Yesu Kristo ili kushika nafasi yake[1][2][3].

Thumb
Mpingakristo alivyochorwa na Luca Signorelli mwaka 1501; kanisa kuu la Orvieto.
Thumb
Mpingakristo (kama mfalme upande wa kushoto) alivyochorwa na Herrad von Landsberg (mwaka 1180 hivi) katika Hortus Deliciarum.
Thumb
Mpingakristo (sehemu ya mchoro wa ukutani katika Monasteri ya Osogovo, Masedonia Kaskazini. Maandishi yanasema "Wafalme na mataifa yote wakimsujudu Mpingakristo."

Badala yake Injili zinawazungumzia Makristo wa uongo[4] na Waraka wa pili kwa Wathesalonike unamtaja "Mtu wa dhambi"[5]

Katika Uislamu, anatajwa Al-Masih ad-Dajjal (المسيح الدجال) kama mmoja atakayetokea kudanganya binadamu kabla ya ujio wa pili wa nabii Isa bin Mariamu (Yesu).

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads