Mtaguso wa Orange (529)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mtaguso wa pili wa of Orange (au Sinodi ya pili ya Orange) ulifanyika mwaka 529 huko Orange, katika Ufalme wa Waostrogoti. Ulipitisha sehemu kubwa ya teolojia ya Augustino kuhusu neema ya Mungu, pamoja na kulaani mafundisho mbalimbali ya Wapelajiupande.
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads