Mto Bahr el Zeraf
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Bahr el Zeraf (pia: Bahr ez Zeraf na Bahr az-Zaraf; kwa Kiarabu: بَـحْـر الـزّرَاف, Baḥr ez-Zerāf, maana yake "mto wa twiga") unapatikana Sudan Kusini (Jonglei).
Ni tawimto la Nile Nyeupe. Kwanza unapitia kinamasi cha Sudd.[1]
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads