Mto Donga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Donga ni mto uliopo katika nchi ya Nigeria na Kameruni.

Mto huo chanzo chake kinapatikana katika Mambilla Plateau huko Nigeria Mashariki, ndiyo sehemu ya mpaka wa kimataifa kati ya nchi ya Nigeria na Kameruni, na unapita kaskazini magharibi, baadaye unaishia katika Mto Benue huko Nigeria.
Beseni la Donga ni la kilomita za mraba 20,000 (7,700 sq mi) katika eneo hilo. Katika kilele chake, unapita karibu na Mto Benue huo hutoa mita za ujazo 1,800 (futi 64,000) ya maji kwa sekunde[1].
Katika Jimbo la Taraba nchini Nigeria, kuna hifadhi tatu (3) za misitu ambao niːBaissa, Amboi na Mto Bissaula, kwenye bonde la mto Donga. ambao unaishia kwenye mteremko chini ya Plateau ya Mambilla, kusini-magharibi mwa Hifadhi ya Kitaifa ya Gashaka Gumti.[2]
Remove ads
Tazama pia
- Orodha ya mito ya Nigeria
- Orodha ya mito ya Kamerun
- Mito mirefu ya Afrika
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads