Mto Ewaso Ng'iro
mto nchini Kenya unaopanda upande wa magharibi wa Mlima Kenya na kutiririka kaskazini kisha mashariki na hatimaye kusini-mashariki, ukipitia Somalia ambako unajiunga na Mto Jubba. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Ewaso Ng'iro unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Lagh Dera ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.Pia Mto huu jina lake limetoka katika jamii fulani ,ambao umaanisha mto wa kaki au matope na pia unaafahamika kama mto "Ewaso Nyiro"

Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads