Mto Ishasha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Ishasha unaanzia nchini Uganda (wilaya ya Kabale) na kuwa sehemu ya mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Unachangia ziwa Edward ambalo kupitia mto Semliki linapeleka maji yake katika ziwa Albert na hatimaye katika mto Naili.
Tazama pia
- Orodha ya mito ya Uganda
- Orodha ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads