Mto Kibish
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Kibish unapatikana kusini mwa Ethiopia na kutumika kama mpaka wake na Sudan Kusini.
Miaka mingine maji yake yanafikia ziwa Turkana, kama C.W. Gwynn alivyogundua mwaka 1908.[1]
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads