Mto Lamia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Lamia unapatikana nchini Uganda (wilaya ya Bundibugyo).

Unachangia mto Semliki ambao unaanza katika ziwa Edward na kuishia katika ziwa Albert.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads