Mto Lumpungu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Lumpungu ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa magharibi), ukiwa tawimto wa mto Malagarasi, wa pili nchini kwa urefu (km 475)[1][2] ambao unatiririka hadi ziwa Tanganyika, ukiwa mto unaoliingizia maji mengi zaidi.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads