Mto Momba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Momba ni jina la miwili kati ya mito ya mkoa wa Songwe (Tanzania Kusini Magharibi). Unatiririka upande wa kusini magharibi na kuishia katika ziwa Rukwa.[1][2]
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads