Mto Nworie

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mto Nworie ni mto mdogo nchini Nigeria. Unaanza karibu na mji wa Owerri na kupita humo. Karibu na Nekede unaishia kwenye mto Otamiri.

Urefu wa njia yake ni km 9.2[1].

Maji ya mto huo yamechafuliwa mno na mwaka 2017 serikali ilitangaza onyo kuhusu sumu ndani yake[2].

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads