Mto Sankuru

mto wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo From Wikipedia, the free encyclopedia

Mto Sankuru
Remove ads

Mto Sankuru ni tawimto la mto Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Thumb
Mto Sankuru (upande wa juu) ukiingia mto Kasai (picha kutoka angani).
Thumb
Mto Sankuru ukioneka mwekundu katika ramani.

Urefu wake ni km 1,200 hivi[1], hivyo ni mrefu kuliko mito mingine inayochangia mto Kasai (karibu na Bena-Bendi, kwenye 4°17′S 20°25′E).

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads