Mto Wilge
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Wilge unaopatikana katika majimbo ya Mpumalanga na Gauteng, Afrika Kusini ni tawimto mojawapo la mto Olifants (Limpopo).

Chanzo cha mto Wilge kipo umbali wa takribani kilometa 15 kaskazini magharibi mwa Leandra. [1] Hutiririsha maji yake kuelekea kaskazini na kujiunga na mto Bronkhorst, kisha kubadili mwelekeo na kutiririsha maji yake kuelekea kaskazini mashariki na kujiunga na mto Olifants takribani kilometa 12 kutoka bwawa la Loskop.[2]
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads