Mudathir Yahya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mudathir Yahya Abbas (alizaliwa 6 Mei 1996) ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya kiungo kwenye klabu ya Young Africans S.C. inayoshiriki NBC Premier League na Timu ya Taifa ya Tanzania.

Mudathir ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Timu ya Taifa ya Zanzibar.[1] Aliiwakilisha Zanzibar kwenye mashindano ya CECAFA ya mwaka 2017,[2] ambapo Zanzibar walimaliza nafasi ya pili.[3]

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads