Mungu Mwana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mungu Mwana (kwa Kigiriki Θεός ὁ υἱός, Theos o uios) ni nafsi ya pili ya Utatu Mtakatifu wa Mungu pekee.

Dogma hiyo ya Ukristo (madhehebu yote isipokuwa Wasiosadiki Utatu) inamkiri Yesu kuwa Mungu sawa na Mungu Baba na Roho Mtakatifu.
Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli inamkiri Mungu Mwana "aliyezaliwa na Baba tangu milele yote", alikuwepo kabla ya kujifanya binadamu tumboni mwa Bikira Maria.[1] [2][3] [4]
Remove ads
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
