Sisilia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sisilia
Remove ads

Sisilia (kwa Kiitalia Sicilia) ni kisiwa kikubwa cha Italia na cha bahari ya Mediteranea yote, ikiwa na eneo la kilomita mraba 25711.

Thumb
Bendera ya Sisilia.
Thumb
Wilaya za mkoa wa Sisilia.

Iko kusini kwa rasi ya Italia, ng'ambo ya mlangobahari wa Messina.

Sisilia pamoja na visiwa vidogo vya jirani ni pia mkoa wa nchi wenye katiba ya pekee.

Idadi ya wakazi ni watu 5,077,487 (2015), ambao kati yao 98% ni raia wa Italia.

Mji mkuu ni Palermo (wakazi 677,854).

Remove ads

Wilaya

Tazama pia

Tovuti za nje


Maelezo zaidi Mikoa ya Italia ...
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sisilia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads