Munhango ni mji uliopo mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Moxico. Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 4,022[1]. Tazama pia Orodha ya miji ya Angola MarejeoLoading content...Loading related searches...Wikiwand - on Seamless Wikipedia browsing. On steroids.Remove ads