Mvuha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mvuha ni kata ya Wilaya ya Morogoro Vijijini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67220.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 21,478 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,250 [2] walioishi humo.
Wananchi wengi wa kata hiyo ni Waluguru wanaofuata dini ya Uislamu.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads