Mwanaidi Suka
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mwanaidi Suka (au Mainda) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Tanzania. Suka ni mmoja wa wanakundi la Kaole Sanaa Group, lenye makazi yake jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Filamu na tamthilia alizoshiriki Suka
Filamu
- Johari 1 - 2
- Dar 2 Lagos
- Dangerous Desire
- My son
- Bed Rest
- After death
- Fair Decision
Tamthilia
- Fukuto
- Radi
- Dira
- Taswira
Ona pia
Marejeo ya Nje
- Habari kuhusu filamu alioshriki Mainda Ilihifadhiwa 4 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine. katika Darhotwire
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwanaidi Suka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
BaragumU
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads