Uwanja wa ndege wa Mwanza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Mwanza ni uwanja mkubwa wa ndege kwa miji ya karibu na nchi za jirani iliyoko jijini la Mwanza nchini Tanzania (IATA: MWZ, ICAO: HTMW). Uwanja huu ni kitovu kikuu cha Auric Air na Delavia- Far East Airways, na pia kitovu kidogo kwa aajili ya Precision Air na Air Tanzania
Remove ads
Makampuni ya ndege na vifiko
Yabebayo Abiria
Yabebayo Mzigo
Remove ads
Viungo vya nje
- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
![]() ![]() |
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads