Mwazye
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mwazye ni kata ya Wilaya ya Kalambo katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania. Kata hii iliwahi kuwa sehemu ya Wilaya ya Sumbawanga Vijijini ikahamishwa kwenye wilaya mpya ya Kalambo mwaka 2012.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 11,981 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,883 waishio humo.[2]
Ndipo alipozaliwa Polycarp Pengo, kardinali wa pili kutoka Tanzania.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads