Mzamiru Yassin
Mcheza mpira From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mzamiru Yassin (amezaliwa Morogoro, Tanzania, 3 Januari 1996) ni mchezaji maarufu wa soka kutoka nchini Tanzania, ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Simba S.C. na timu ya taifa ya Tanzania[1].
Mzamiru ameendelea kuonyesha kiwango bora katika soka tangu alipojiunga na Simba SC miaka sita iliyopita, akionekana kuwa sehemu muhimu ya mafanikio ya timu yake. Ameshiriki katika mechi 36 na timu ya taifa ya Tanzania bila kufunga goli.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads