3 Januari
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 3 Januari ni siku ya tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 362 (363 katika miaka mirefu).
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Remove ads
Waliozaliwa
Remove ads
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Jina takatifu la Yesu, lakini pia za watakatifu Papa Antero, Teopempto na Teona, Gordio wa Kaisarea, Danieli wa Padua, Teojene wa Pario, Fiorenso wa Vienne, Genoveva wa Nanterre, Lusiano wa Lentini, Kuriakose Elias Chavara n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads