Nadharia seti

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nadharia seti
Remove ads

Nadharia ya seti ni somo la seti katika hisabati. Seti ni mkusanyo wa vitu mbalimbali vinavyoitwa memba.

Thumb
Mchoro wa Venn likionyesha muingiliano wa seti mbili.

Katika kuandika seti, tunafunga memba katika {mabano maua} na kuzitenganisha kwa alama ya mkato: k.mf., {1, 2, 3} inashika 1, 2 na 3; vilevile {a, b, c} inafunga a, b na c.

Kuna aina tatu za nadharia za seti, nazo ni: njia ya maneno, njia ya orodha na njia ya kanuni.

Remove ads

Historia

Nadharia ya seti ilibuniwa na Georg Cantor mwaka 1874, lakini ilihitaji kuboreshwa kama alivyoonyesha Bertrand Russell.

Marejeo

  • Chechulin V. L., Theory of sets with selfconsidering (foundations and some applications), Publishing by Perm State University (Russia), Perm, 2010, 100 p. ISBN 978-5-7944-1468-4

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadharia seti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads