Alama
ishara, ilani, ishara za barabara, ishara, picha, n.k. From Wikipedia, the free encyclopedia
Alama (kwa Kiingereza "sign"[1]) ni kitu, mchoro, maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu kingine, tukio, sehemu n.k.


Baadhi yake ni asili, kwa mfano radi ya umeme na dalili za ugonjwa.[2]
Baadhi zimetungwa na binadamu, kwa mfano vituo katika maandishi na vitendo vya mikono wakati wa kuongea.[3]


Marejeo
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.