Nanjing
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nanjing (kwa Kichina: 南京) ni mji wa China. Ndio mji mkuu katika jimbo la Jiangsu.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, kuna wakazi wapatao milioni 7.6 wanaoishi katika mji huu.
Mji uko mita 15 juu ya usawa wa bahari.
Remove ads
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nanjing kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads