Navassa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Navassa ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Haiti ambacho kinadaiwa na nchi hiyo tangu mwaka 1801 kuwa ni chake lakini kinatawaliwa na Marekani tangu mwaka 1857.[1][2][3][4]

Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 5.4 lakini hakina wakazi wa kudumu.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads