Neofito wa Nisea
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Neofito wa Nisea (Nisea, Bitinia, leo nchini Uturuki, 294 hivi - Nisea, 310) alikuwa kijana Mkristo ambaye, baada ya kuishi kama mkaapweke, alifia dini yake hiyo wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Januari[3].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads