Neopuli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Neopuli (alifariki Aleksandria, 304) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads