Nikanda mfiadini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Nikanda mfiadini (alifariki Aleksandria, karne ya 4) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao[1]. Alikatwa kichwa.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads