Nikola Pieck

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nikola Pieck
Remove ads

Nikola Pieck (29 Agosti 1534 - 9 Julai 1572[1]) alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum[2].

Thumb
Wafiadini wa Gorkum.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe ya kifodini chao, 9 Julai[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads