Nina Myers
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nina Erin Myers ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Sarah Clarke.
Nina alikuwa mtu wa pili kwa uamuru wa Kitengo cha Kuzuia Ugaidi cha Los Angeles (CTU) wakati wa vipande vya awali vya msimu wa kwanza wa mfululizo huu.
Remove ads
Katika uhusika
Nina Myers alizaliwa mjini Boston, Massachusetts, mnamo mwaka wa 1968.[1] Ana digrii ya mambo ya Arts ya Ustadi wa Mashariki ya Kati aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha Harvard, na Master's degree katika masuala ya Uchunguzi Uharifu Kisaikolojia ambayo aliipati katika Chuo cha Sheria Dhidi ya Uharifu cha John Jay. Alishafanya kazi na Baraza la Ulinzi la Umoja wa Mataifa kabla hajajiunga na CTU.
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads