Northwest Territories

From Wikipedia, the free encyclopedia

Northwest Territories
Remove ads

Northwest Territories (pia:Territoires du Nord-Ouest) ni eneo kubwa la Kanada upande wa kaskazini ya nchi. Imepakana na Nunavut, Alberta, Saskatchewan, British Kolumbia na Yukon.

Thumb
Northwest Territories ndani ya Kanada
Thumb
Bendera ya Northwest Territories

Northwest Territories lina wakazi wapatao 42,940 (2009) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,346,106.

Yellowknife ni mji mkuu na mji mkubwa.

Kuna lugha rasmi 11:

  1. Kichipewyan
  2. Kikree
  3. Kiingereza
  4. Kifaransa
  5. Kigwich’in
  6. Kiinuinnaqtun
  7. Kiinuktitut (ᐃᓄᒃᑎᑐᑦ)
  8. Kiinuvialuktun
  9. Kislavi Kaskazini
  10. Kislavi Kusini
  11. Kitłįchǫ
Remove ads

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Northwest Territories kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads