Notoptera

From Wikipedia, the free encyclopedia

Notoptera
Remove ads
Remove ads

Notoptera (notos = mgongo, ptera = mabawa) ni oda ndogo ya wadudu iliyo na spishi 55 zinazoishi hadi sasa. Spishi hizi zimeainishwa katika familia mbili: Grylloblattidae (wadudu-barafu) na Mantophasmatidae (watambaaji-miamba). Kuna familia mbili za spishi zilizoisha sasa.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Wadudu-barafu wanatokea Amerika ya Kaskazini na Asia ya Mashariki juu ya milima. Hutafuta arithropodi wadogo waliokufa kwa barafu.

Watambaaji-miamba wanatokea Afrika ya Kusini tu lakini spishi moja inatokea Tanzania. Hula wadudu wengine.

Remove ads

Jenasi za Afrika

  • Austrophasma
  • Hemilobophasma
  • Karoophasma
  • Lobatophasma
  • Mantophasma
  • Namaquaphasma
  • Pachyphasma
  • Praedatophasma
  • Sclerophasma
  • Striatophasma
  • Tanzaniophasma
  • Tyrannophasma
  • Viridiphasma

Picha

Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Notoptera kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu "Notoptera" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili icebug, rock crawler kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni mdudu-barafu, mtambaaji-miamba.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads