Nadharia ya namba

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nadharia ya namba
Remove ads

Nadharia ya namba (kwa Kiingereza Theory of numbers; awali: arithmetic[1][2]) ni tawi la hisabati linalochunguza hasa nambakamili.

Thumb
Pia ya Ulam.

Mwanahisabati Mjerumani Carl Friedrich Gauss (17771855) alisema, "Hisabati ndiyo malkia wa sayansi zote, na nadharia ya namba ndiyo malkia wa hisabati zote."

Tanbihi

Vyanzo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads