Nusu yabisi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nusu yabisi ni neno la kawaida kwa kitu ambacho hali yake iko kati ya yabisi na kiowevu.[1][2]
Mifano
- Jelly ya mafuta - hydrocarbon C15H15N isiyo na nguvu, inayoitwa petrolatum,
- Guacamole,
- Grisi,
- Mayonesiise,
- Siagi ya karanga,
- Dawa ya meno
- Kitakasa mikono
Angalia pia
- Plastiki (fizikia)
- Mnato
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads