Odrada

From Wikipedia, the free encyclopedia

Odrada
Remove ads

Odrada (Scheps, leo nchini Ubelgiji - Alem, leo nchini Uholanzi) alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 8 ambaye tangu kale amepewa heshima ya mtakatifu bikira[1][2][3].

Thumb
S. Odrada (Turnhout)

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Novemba[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads