Oengus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Oengus (labda alifariki 11 Machi 824) alikuwa mkaapweke wa Ireland, halafu askofu na mwandishi aliyejitahidi kurekebisha Kanisa la nchi hiyo[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads