Offenbach am Main
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Offenbach am Main au Offenbach ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Main. Idadi ya wakazi wake ni takriban 118,770. Mji ulianzishwa 977. Umbali na Jiji la Frankfurt am Main ni 3 km.

Remove ads
Trafiki
Kuna huduma za mistari wa S1, S2, S8 na S9 ya Treni za mkoani Rhine / Main, pia kituo kikuu cha reli Offenbach (Offenbach Hauptbahnhof) kuna huduma za treni za eneo, zamani Treni za barabarani Frankfurt / Main zinasafirishwa huko Offenbach pia, lakini tuneli ya treni za mkoani imetengenezwa tayari huduma imeacha, leo mstari 16 ya treni za barabarani inaachwa kituo cha "Offenbach Stadtgrenze" kwenye mpaka na Frankfurt na Offenbach.
Kuna huduma za treni za masafa marefu huko kituo cha Frankfurt kusini na Kituo kikuu cha reli Frankfurt. Huduma za mabasi la masafa marefu ipo Kituo cha mabasi la masafa marefu Frankfurt / Main.
Remove ads
Tazama pia
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Offenbach am Main kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads

