One Day at a Time (Em's Version)

From Wikipedia, the free encyclopedia

One Day at a Time (Em's Version)
Remove ads

"One Day at a Time (Em's Version)" ni kibao cha pili kutolewa kama single na Tupac Shakur. Kibao kinatoka katika albamu ya Tupac: Resurrection (Original Soundtrack). Wimbo umemshirikisha Eminem na Outlawz. Wimbo umepatwa kupigwa kiasi kwenye maredio na TV. Hakuna muziki wa video rasmi uliowahi kutengenezwa kwa ajili ya kibao hiki. Wimbo ulifikia nafasu ya #80 kwenye chati za The Billboard Hot 100. Toleo halisi la wimbo huu lilirekodiwa mnamo mwaka wa 1996 akiwa na Spice 1.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

CD single
Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads