Oran
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Oran (kwa Kiarabu: وَهران, Wahrān) ni mji muhimu wa pwani kaskazini-magharibi mwa Algeria.

Ndio wa pili nchini baada ya mji mkuu Algiers kwa biashara, viwanda na elimu.
Wakazi walihesabiwa kuwa 759,645 mwaka 2008,[1] lakini jiji lote linakadiriwa kuwa na watu 1,500,000[2][3].
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads