Oran Manase Njeza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Oran Manase Njeza ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mbeya Vijijini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads