Othman Masoud Othman Sharif ni wakili na mwanasiasa wa Tanzania anayehudumu kama Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Pia ni mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo.[1][2][3]
Ukweli wa haraka Wadhifa, Kuanza kwa kipindi ...
| Wadhifa | Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar |
|---|
| Kuanza kwa kipindi | 2 Machi 2021 |
|---|
| Raisi | Hussein Mwinyi |
|---|
| Mtangulizi | Seif Sharif Hamad |
|---|
| Mahali pa kuzaliwa | Pemba, Zanzibar |
|---|
| Taifa | Mtanzania |
|---|
| Chama cha kisiasa | ACT-Wazalendo |
|---|
| Mke | Zainab Shaib Kombo |
|---|
| Watoto | Imran Othman Masoud, Rauhiyyah Othman Masoud, Asya Othman Masoud, Shaymaa Othman Masoud, Rubina Othman Masoud, Masoud Othman Masoud, Khalil Othman Masoud, Tajmeel Othman Masoud |
|---|
| Elimu | UDSM University of London University of Turin |
|---|
| Taaluma | Mwanasheria |
|---|
|
Funga