Otimus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Otimus alikuwa padri[1] wa Misri katika karne ya 3 aliyeuawa kwa imani yake ya Kikristo wakati wa dhuluma ya Kaisari Diokletian[2].
Kanisa la Kikopti linamheshimu kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Septemba.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads