Palencia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Palencia ni mji wa Hispania, mji mkuu wa Mkoa wa Palencia.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 78,412 [1] na kuufanya wa tisini na tatu nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads