Pambazuko

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pambazuko
Remove ads

Pambazuko (au macheo au maawio ya jua) ni hasa nukta ambapo jua linaanza kuonekana upande wa mashariki wa dunia,[1] lakini pia kipindi chote cha siku ambacho kinafuata na kuathiriwa na nukta hiyo.[2]

Thumb
Pambazuko baharini.
Thumb
Jua limeshapambazuka huko Cua Lo, Vietnam.
Video ya pambazuko.

Kurudi kwa mwanga wa kutosha duniani baada ya giza la usiku ni mfano muhimu katika sanaa na katika dini ambao unachukuliwa kama mzuri na wa kuleta tumaini jipya.

Kinyume cha mapambazuko au macheo ni machweo wakati wa jioni.

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads