Panya ni wanyama wadogo wa familia ya juu ya Muroidea katika oda ya Rodentia (wanyama wagugunaji).
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
| Panya |

Panya-nyasi wa Afrika |
| Uainishaji wa kisayansi |
| Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
| Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
| Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
| Ngeli: |
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
| Oda: |
Rodentia (Wanyama wagugunaji)
|
| Familia ya juu: |
Muroidea (Wanyama kama panya)
|
|
| Ngazi za chini |
|
Familia 6:
- Calomyscidae (Wanyama walio na mnasaba na vibuku)
- Cricetidae (Wanyama walio na mnasaba na mabuku wa Ulaya)
- Muridae (Wanyama walio na mnasaba na vipanya)
- Nesomyidae (Wanyama walio na mnasaba na mabuku)
- Platacanthomyidae (Wanyama walio na mnasaba na panya-miti miiba)
- Spalacidae (Wanyama walio na mnasaba na mafuko mashariki)
|
Funga
 |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Panya kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |